TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Hilo nalo wazo ila kufundishq watoto ni kipaji baba .I will take your advice nitaanza kumtafutia eneo la kukodi .Kwanini usimfungulie shule hizi za chekechea?
Usicheke mambo yapo ,juzi bi mkubwa kaenda kwenye msiba uswahilini fulani huko hakula watu wakamkung'utisha mikono maana kilipikwa kitu cha ubwabwa ww umeona wapi ubwabwa msiba wa uswahilini hapo hautii mkono km haumjui mtu.Nimecheka kama mazuri,eti bila connection unaweza usile msibani[emoji23]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kama una mtaji wa kukodi au kujenga ka hall kadogo kama darasa hivi,..ndani ya mwaka mmoja tu atakuwa mbali mno.Hilo nalo wazo ila kufundishq watoto ni kipaji baba .I will take your advice nitaanza kumtafutia eneo la kukodi .
Wazo zuri ila mabanda mazuri ni yale ya vibanda umiza,ngoja nianze msako wa kuyasaka ambayo hayatumiki asubuhi🤔🤔🤔🤔🤔Kama una mtaji wa kukodi au kujenga ka hall kadogo kama darasa hivi,..ndani ya mwaka mmoja tu atakuwa mbali mno.
Easy said..Kama una mtaji wa kukodi au kujenga ka hall kadogo kama darasa hivi,..ndani ya mwaka mmoja tu atakuwa mbali mno.
Easy said..
nina rafiki alifungua kaishia wanafunzi watatu na anatakiwa kurenew mkataba
Maisha ni kujaribu,biashara pia zina mambo mengi haupaswi kuanza biashara kienyeji au kimazoea labda kama ukoo wenu hakuna wazee
kama wazee wanakusaidia kupata wateja na kushawishi mzazi kuandikisha mtoto shule mpya ni Sawa,Maisha ni kujaribu,biashara pia zina mambo mengi haupaswi kuanza biashara kienyeji au kimazoea labda kama ukoo wenu hakuna wazee😂😂😂😂
Labda km haujanielewa!kama wazee wanakusaidia kupata wateja na kushawishi mzazi kuandikisha mtoto shule mpya ni Sawa,