Wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF na Wilfred Lwakatare waiteka Tanga

Wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF na Wilfred Lwakatare waiteka Tanga

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
Screenshot_20200626-074921.png

WAJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA CUF & WILFRED LWAKATARE WAITEKA TANGA. KILA WILAYA WANAYOFIKA WAPOKELEWA KIPEKEE

Wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF wameamua kufika kila wilaya kuzungumza na wanachama na Viongozi wa CUF kuweka mikakati kuelekea katika Uchaguzi Mkuu.

Wameanza na Mkoa wa Tanga na Kupokelewa kifalme na wanachama wa Tanga katika Wilaya zote za Mkoa wa Tanga".

#CUF2020ZamuYetu.
 
Police kula kichwa hao.....au mnawaona CHADEMA na ACT pekee!!
 
Yani watu hata 200 hawafiki eti. Yanga imetekwa.Ninyi ndo mmetekwa na saiz mtakula mlikopanda
 
Back
Top Bottom