Wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF na Wilfred Lwakatare waiteka Tanga

Hata kwa ku zoom picture, bado naona ni idadi ndogo ya walio hudhuria. Au unamaanisha wameiteka vipi hiyo tanga?
 
Kwao amekosa watu kama Lipumba na Tabora itakuwa Tanga ? tafta kazi nyingine ya kufanya siasa imeshindikana msilazimishe
 
Ameshindwa Bukoba ndiko kwao,Tanga jee?
 

Attachments

  • 2368793_2024173_IMG_20190329_072747_1.jpeg
    16.4 KB · Views: 1
Mbona kichwa cha habari ni tofauti ninachokiona kwenye picha? Mbona sioni "nyomi"?
 
Chadema ndio tishio manake hata ukileta habari ya CUR kitajibiwa Chadema.
 
Mbona sio wengi kama inavyoonekana kwenye picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…