Uchaguzi 2020 Wajumbe wa Bukoba Vijijini mmekosa heshima, haiwezekani mumpe kura Rweikiza, sasa subirini kichapo kikali kutoka kwa Conchesta Rwamlaza

Uchaguzi 2020 Wajumbe wa Bukoba Vijijini mmekosa heshima, haiwezekani mumpe kura Rweikiza, sasa subirini kichapo kikali kutoka kwa Conchesta Rwamlaza

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Sisi wananchi wa Bukoba Vijijini tumemkataa Rweikiza then nyie mnaforce mambo sasa subirini kichapo kikali.

Nadhani utaratibu unajulikana Wahaya tuko vizuri kichwani.

Mazoea mnayoleta mtayajutia Hugo Rweikiza kafanya jambo gani zuri , hata barabara moja haipo Tangia kumpa ubunge ...sasa tutawanyoosha.

Nb: wajumbe wa CCM nimewaona kiukweli wako hoi wamechoka hata ningekuwa mm ndo wao ningepokea tu Rushwa.
 
Hivi Bukoba vijijini inajumuisha sehemu zipi? Nimepata ingawa ni data ya zamani kidogo

District
Bukoba Rural District's location within Kagera Region.
Bukoba Rural District's location within Kagera Region.

Bukoba Rural District is one of the eight districts of the Kagera Region of Tanzania. It is bordered to the north by Missenyi District, to the east by Lake Victoria and Bukoba Urban District, to the south by Muleba District and to the west by Karagwe District. Its administrative seat is Bukoba town.

According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Bukoba Rural District was 289,697.[1]
to 29 wards.[1]

Wards
  • Buhendangabo
  • Bujugo
  • Butelankuzi
  • Butulage
  • Ibwera
  • Izimbya
  • Kaagya
  • Kaibanja
  • Kanyangereko
  • Karabagaine
  • Kasharu
  • Katerero
  • Katoma
  • Katoro
  • Kemondo
  • Kibirizi
  • Kikomero
  • Kishanje
  • Kishogo
  • Kyamulaile
  • Maruku
  • Mikoni
  • Mugajwale
  • Nyakato
  • Nyakibimbili
  • Rubafu
  • Rubale
  • Ruhunga
  • Rukoma
 
Pigeni kura za hasira kwa kumkataa huyo Rweikiza na mchagueni huyo mgombea wa cdm
 
Huko juu atapita ? Bashiru na tim yake wanaweza kumchinjia mbali.Kiukweli Rwekiza hafai hata kwa kuombea maji,barabra hata moja hakuna mf kuna barabara moja ya kutoka Bukoba manispaa kwenda Izimbya ni mbovu hatari ,nilipita 2018 mpaka nikasema hivi hawa wana mbunge kweli au iko vip
 
IRINGA MJINI KUTAKUWA NA WAGOMBEA WAWILI WA CHADEMA. NI JESCA MSAMBATAVANGU NA MCH. MSIGWA. JESCA NI MWANACHAMA HAI KABISA WA CHADEMA MWENYE KADI KABISA ILA HUPO CCM NA ALIWAHI KUSIMAMISHWA UANACHAMA WA CCM AKITUHUMIWA KUWA NI MAMLUKI NA MFUASI WA LOWASSA. BADO KUNDI LA LOWASSA LINA KINYONGO NDANI YA CCM. YETU MACHO HUKO IRINGA MJINI.
 
Ungemtoleo mfano Makonda ndiyo ningeamini kuwa una msimamo
Mimi CCM lakini CCM si mama yangu!
Akitokea mtu makini chama chochote kura yangu anayo.
Msituletee kama kina Juma Nkamia hata wana CCM hawamtaki.
 
Haa haa Kigamboni walikula TAKRIMA na KURA hawakumpa...Dar kuna wanaume!
Mikoani huko vipi jamani?? 😀

Everyday is Saturday.............................😎
 
Jamani mnyonge mnyogeni lakini haki yake mpeni. Huyu Rweikiza si amewajengea kiwanda cha kusindika nyanya ambacho pamoja na kuwawezesha wakulima wengi kitatengeneza ajira za moja kwa moja 150! Haya si ndiyo maendeleo ya moja kwa moja yanayoweka fedha mikononi mwenu?
 
Back
Top Bottom