Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hilo halina usumbufu kwetu wana dsm, wala haituumiz kabisa.
Tunacho jivunia kama wananchi wa dsm ni kutumia nafasi finyu tuliyo ipata kufanya maamuzi ya nani awe kiongozi wetu.
Tumemkataa Bashite na hii iwe meseji kwa mwenyekiti wa ccm kuwa mtu wake tumemkataa.

Siasa haina mahesabu makali, ni upepo.
Utashangaa Makonda akarudi kuwa waziri asiye na wiara maalum.