DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hivi Bukoba vijijini inajumuisha sehemu zipi? Nimepata ingawa ni data ya zamani kidogoSisi wananchi wa Bukoba Vijijini tumemkataa Rweikiza then nyie mnaforce mambo sasa subirini kichapo kikali.
Nadhani utaratibu unajulikana Wahaya tuko vizuri kichwani.
Mazoea mnayoleta mtayajutia Hugo Rweikiza kafanya jambo gani zuri , hata barabara moja haipo Tangia kumpa ubunge ...sasa tutawanyoosha.
Nb: wajumbe wa CCM nimewaona kiukweli wako hoi wamechoka hata ningekuwa mm ndo wao ningepokea tu Rushwa.
| District | |
|
Bukoba Rural District's location within Kagera Region. |
|
|
|
|
|
Mbona humtaji umpendaye?
Njaa mbaya sana[emoji848]
Ni nani tumjue?Atachaguliwa mgombea wa cdm
Ni nani tumjue?
Mimi CCM lakini CCM si mama yangu!Wewe ni ccm habari za cdm zinakuhusu nini?
Mimi CCM lakini CCM si mama yangu!
Akitokea mtu makini chama chochote kura yangu anayo.
Msituletee kama kina Juma Nkamia hata wana CCM hawamtaki.
Siasa haina mahesabu makali, ni upepo.Ungemtoleo mfano Makonda ndiyo ningeamini kuwa una msimamo