Siasa haina mahesabu makali, ni upepo.
Utashangaa Makonda akarudi kuwa waziri asiye na wiara maalum.
Biharamulo haiko bk ilitolewa na kupelekwa geitaHivi Bukoba vijijini inajumuisha sehemu zipi? Nimepata ingawa ni data ya zamani kidogo
District
Bukoba Rural District's location within Kagera Region.
Bukoba Rural District is one of the eight districts of the Kagera Region of Tanzania. It is bordered to the north by Missenyi District, to the east by Lake Victoria and Bukoba Urban District, to the south by Muleba District and to the west by Karagwe District. Its administrative seat is Bukoba town.
According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Bukoba Rural District was 289,697.[1]
to 29 wards.[1]
Wards
- Buhendangabo
- Bujugo
- Butelankuzi
- Butulage
- Ibwera
- Izimbya
- Kaagya
- Kaibanja
- Kanyangereko
- Karabagaine
- Kasharu
- Katerero
- Katoma
- Katoro
- Kemondo
- Kibirizi
- Kikomero
- Kishanje
- Kishogo
- Kyamulaile
- Maruku
- Mikoni
- Mugajwale
- Nyakato
- Nyakibimbili
- Rubafu
- Rubale
- Ruhunga
- Rukoma
Ajira 150 nazo za kupigia kelele?Jamani mnyonge mnyogeni lakini haki yake mpeni. Huyu Rweikiza si amewajengea kiwanda cha kusindika nyanya ambacho pamoja na kuwawezesha wakulima wengi kitatengeneza ajira za moja kwa moja 150! Haya si ndiyo maendeleo ya moja kwa moja yanayoweka fedha mikononi mwenu?
Acha basi nduguBiharamulo haiko bk ilitolewa na kupelekwa geita
Jimbo la BK Vijijini ni changamoto sana...wapo vijana wasomi na wajenga hoja ila kupitishwa kugombea kiti cha Ubunge inakua mtiani...HAWANA PESA
Kweli bila kununua rubisi,konyagi,mfuru,mkubi,nk ubunge ni ndotoToa Pesa Upate Pesa
Una laana sio bure, changia hoja za kujenga mkuuHapo kwenye KATERERO wapi MTONGONO.
Hakuna kitu mpaka sasa hv nyanya zinanunua bei sawa na bure, alafu jamaa ana kashifa ya kupindisha makao makuu ya wilaya kama alivyofanya kwenye hospitali ya wilayaJamani mnyonge mnyogeni lakini haki yake mpeni. Huyu Rweikiza si amewajengea kiwanda cha kusindika nyanya ambacho pamoja na kuwawezesha wakulima wengi kitatengeneza ajira za moja kwa moja 150! Haya si ndiyo maendeleo ya moja kwa moja yanayoweka fedha mikononi mwenu?
wewe siyo mhayaUna laana sio bure, changia hoja za kujenga mkuu
CHADEMA wamewaleteeni jembe, ma Conche mshindwe wenyewe tu! Mwaka huu naona CHADEMA wanachukua kuanzia hapo mjini, vijijini, Nkenge, Biharamulo na Ngara! Tunaunga Buyungu, MuhambweMimi CCM lakini CCM si mama yangu!
Akitokea mtu makini chama chochote kura yangu anayo.
Msituletee kama kina Juma Nkamia hata wana CCM hawamtaki.
Sio kweliwewe siyo mhaya
Karibu!CHADEMA wamewaleteeni jembe, ma Conche mshindwe wenyewe tu! Mwaka huu naona CHADEMA wanachukua kuanzia hapo mjini, vijijini, Nkenge, Biharamulo na Ngara! Tunaunga Buyungu, Muhambwe