Wajumbe wa CHADEMA muumbueni Mbowe utakapotaka kuwanunua

Ili tusinunuliwe,tupatie bus fare kwenda na kurudi, kula Bure,kulala Bure,na posho ya mfukoni ya siku tatu.
 
Kwanini unahisi kwamba wajumbe watanunuliwa ?....wasiwasi unatoka wapi ?
 
Kwanini unahisi kwamba wajumbe watanunuliwa ?....wasiwasi unatoka wapi ?
Mbowe hayupo tayari kushindwa kirahisi na CCM wapo nyuma yake. Hizo ni mbinu za kawaida kwa wagombea wa namna yake
 
Wito huu ungekuwa unatolewa kwa watu wenye akili timamu za binadamu, lakini hao wajumbe ni akili za nyumbu, subiri utashangaa Lissu kupata kura 1 ya kwake kama ile ya kwangu Kawe!.

Juhudi kubwa inatakiwa kuwavua unyumbu hawa manyumbu na kurejesha akili za binadamu!.

P
 

We jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…