GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wajumbe wa MCC Kawe kama mpo pia na hapa JamiiForums naomba nichukue nafasi hii kuwatakeni radhi kama kuna nilikowakosea ili mnisamehe na nyota yangu ya kukubalika irejee kwa Jamii.
Kwani kama kuna sehemu ya kipekee ambayo mara kwa mara nimekuwa nikitamba kuwa nakubalika, ni maarufu na mimi ndiyo member mwenye akili kuliko wote na ushawishi mkubwa kama Mpasha Taarifa kwa Umma basi ni hapa JamiiForums.
Wajumbe wa MCC Kawe mmeniachia nuksi mbaya sana katika maisha yangu mpaka hata kwingineko (hata hapa JamiiForums) kukitokea tu uchaguzi wowote au shindano lolote lile bado tu sikubaliki pamoja na kwamba mimi ni mkongwe na mngwena (mwamba) kuliko wengineo wote.
Kama ikiwapendezeni pia Wajumbe wa MCC Kawe nitapenda kwa nia njema tu mniambie ni wapi labda nilikosea, niliwakosea au nakosea ili nijirekebishe kiasi kwamba hata 2025 nikijaribu bahati nyingine labda Dar es Salaam au Mwanza hata kwa nafasi nyepesi tu ya Ujumbe wa Nyumba Kumi Kumi (japo sasa ni hamsini hamsini) basi safari hii nisianguke/nisishinde tena kwa aibu hizi za Kawe Jimboni na Mtandaoni JamiiForums.
Nitawashukuruni.
Wenu Mpasha Taarifa kwa Umma mkongwe, mwerevu kuliko wote JamiiForums na maarufu sana.
Cc: Bila bila, adriz, Bujibuji Simba Nyamaume, Daudi Mchambuzi, Glenn, SAGAI GALGANO, King Kong III, cocastic etc.