U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Jan 24, 2022 #1 Wazalendo Wote Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Taarifa imeambatanishwa Chama kipo kazini Kazi Iendelee
Wazalendo Wote Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Taarifa imeambatanishwa Chama kipo kazini Kazi Iendelee
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Jan 24, 2022 #2 CCM imara ni turufu kwa nchi
Jagina JF-Expert Member Joined Jan 29, 2019 Posts 8,428 Reaction score 4,022 Jan 24, 2022 #3 Msanii said: CCM imara ni turufu kwa nchi Click to expand... Wanakuja na ajenda ya kuuza kisiwa kizima mali ya ngawira
Msanii said: CCM imara ni turufu kwa nchi Click to expand... Wanakuja na ajenda ya kuuza kisiwa kizima mali ya ngawira
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 20,654 Reaction score 35,887 Jan 24, 2022 #4 Jagina said: Wanakuja na ajenda ya kuuza kisiwa kizima mali ya ngawira Click to expand... Wacha wauze ardhi kibao ipo Tanganyika.
Jagina said: Wanakuja na ajenda ya kuuza kisiwa kizima mali ya ngawira Click to expand... Wacha wauze ardhi kibao ipo Tanganyika.
CM 1774858 JF-Expert Member Joined May 29, 2021 Posts 5,621 Reaction score 5,029 Jan 24, 2022 #5 Kazi iendelee
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Jan 24, 2022 #6 Ka Zanzibar kadogoooo lkn kanatawala dude kuuuuuuuuuubwa. Hongereni sana
Jagina JF-Expert Member Joined Jan 29, 2019 Posts 8,428 Reaction score 4,022 Jan 24, 2022 #7 Ngongo said: Wacha wauze ardhi kibao ipo Tanganyika. Click to expand... Baadaye Na ya Tanganyika wataiuza
Ngongo said: Wacha wauze ardhi kibao ipo Tanganyika. Click to expand... Baadaye Na ya Tanganyika wataiuza
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Jan 24, 2022 #8 Jagina said: Wanakuja na ajenda ya kuuza kisiwa kizima mali ya ngawira Click to expand... Bora wawauze maana hatulali usingizi kwa kelee za Tunguu
Jagina said: Wanakuja na ajenda ya kuuza kisiwa kizima mali ya ngawira Click to expand... Bora wawauze maana hatulali usingizi kwa kelee za Tunguu
Jagina JF-Expert Member Joined Jan 29, 2019 Posts 8,428 Reaction score 4,022 Jan 24, 2022 #9 Msanii said: Bora wawauze maana hatulali usingizi kwa kelee za Tunguu Click to expand... Wakimaliza huko watauza mpaka Chato
Msanii said: Bora wawauze maana hatulali usingizi kwa kelee za Tunguu Click to expand... Wakimaliza huko watauza mpaka Chato