Je kama hakuondoa na kuendelea kuuwa kina mama na watoto, huku Hamas wakiwa wameshawaachia mateka wote na miili 58?Xi Jinping mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Amejenga hojaaridhawa kuwa Hams wawaachie mateka 20 na kirudisha miili 58 naye ataondoa majeshi yake siku hiyo hiyo.
Uyajue ili wewe mpogolo ikusaidie nini?Tuyajue mataifa hayo yaliyobaki kumsikiliza Netanyahu.
Kwanini uone mkumbo umefatwa na waliotoka na sio waliobaki?Mataifa mengine yaliyotoka ni kufuata mkumbo tu na hasa mataifa ya Afrika na zaidi nchi ya Tanzania.
Na wewe unaumia nini Tanzania kujipendekeza kwenye hizo nchi ulizosema hapo juu?Mgogoro wa Mashariki ya Kati Tanzania inaumia nini kama si kujipendekeza kwa mataifa hasimu kwa Israel na yale ya Magharibi yaliyoibuka kuipinga Israel na kutaka kuitambua Palestina?
Daima Tanzania ibaki na siasa yake ya kutofungamana na upande wowote
Tuyajue mataifa hayo yaliyobaki kumsikiliza Netanyahu. Mataifa mengine yaliyotoka ni kufuata mkumbo tu na hasa mataifa ya Afrika na zaidi nchi ya Tanzania. Mgogoro wa Mashariki ya Kati Tanzania inaumia nini kama si kujipendekeza kwa mataifa hasimu kwa Israel na yale ya Magharibi yaliyoibuka kuipinga Israel na kutaka kuitambua Palestina? Daima Tanzania ibaki na siasa yake ya kutofungamana na upande wowote
povu lote hili la nini mjuba?Uyajue ili wewe mpogolo ikusaidie nini?
Baada ya kuyajua kuna faida yoyote binafsi utaipata?
Na kama haukuyajua kuna hasara yoyote binafsi utaipata?
Kwanini uone mkumbo umefatwa na waliotoka na sio waliobaki?
Na wewe unaumia nini Tanzania kujipendekeza kwenye hizo nchi ulizosema hapo juu?
Kuna kitu fulan ambacho umepungukiwa mwilini kutokana na swala hilo?
Hivi kuuliza maswali siku hizi ni kupanic mkuu?Mjuba 6 Pack unapaniki nini? Tuliza mzuka, acha kutokwa povu, Israel nayo ina haki zake ujue
He's losing the world, ni Marekani pekee ndio nguzo kuu ya israeli imebaki ,lakini robo tatu ya raia wa Marekani, 70 ulaya wanaichukia israeli na wanaandamana kila kukicha kuzitaka Serikali zao kutoshiriki mauji ya watoto wasio na hatia , hapa umebaki wewe tu muisraeli wa kuruthi mkazi wa tandahimba ,unaeamini israeli ni wachaguliwa wa mungu.SIMBA AKITOKEA MAHALI LAZIMA WANYAMA wengine wakimbie
Waachilie mateka wa ISRAELIsra-hell kila mahali hawatakiwi ,muhu
He's losing the world, ni Marekani pekee ndio nguzo kuu ya israeli imebaki ,lakini robo tatu ya raia wa Marekani, 70 ulaya wanaichukia israeli na wanaandamana kila kukicha kuzitaka Serikali zao kutoshiriki mauji ya watoto wasio na hatia , hapa umebaki wewe tu muisraeli wa kuruthi mkazi wa tandahimba ,unaeamini israeli ni wachaguliwa wa mungu.
Hallelujah View attachment 3480213
Hilo ndilo la msingiWaachilie mateka wa ISRAEL
Just simple