Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Unavunja amani
Unachochea kabisa rushwa?Nitashangaa kama kuna Mjumbe atalia njaa baada ya hili zoezi. Nakumbuka 2020 KAWE ilikua ni mwendo wa Miamala kupitia simu za Wajumbe (hapo Wagombea wanakua na namba za simu za Wajumbe wote. Pesa inarushwa kupitia Wakala wa simu kwa kuzidiana Dau).
Takrima. Mjumbe nae ana bills za kulipaUnachochea kabisa rushwa?
Keeli huko CCM mmejaa maiti
Ndo mana Watanzania tunasema No Reforms No Election
Bills ndo upewe na Mgombea?Takrima. Mjumbe nae ana bills za kulipa
Hakosi 10mYale ya zamani mpunga sio mwingi, haya majimbo mapya ndio kuna pesa.
Kama ni mjumbe mwenye degree ya unafki utaondoka na kibunda aisee.