Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakuu!
Waswahili wanasema uUsiamini vicheko!
Hali ilivyokuwa kabla ya zoezi la upigaji wa kura za maoni kwa nafasi ya ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Nzega Vijijini, ambapo Neto Kapalata ameshinda kwa kura 2,570 dhidi ya kada mkongwe wa chama hicho na mbunge aliyemaliza muda wake Hamis Kigwangalla ambaye amepata kura 1,715, akifuatiwa na CPA Robert Masegere aliyepata kura 1,635.