Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kuna yule wa Kahama Lembeli yeye alitengeneza kiti na kubebwa kwama mfalme ila alibwagwaWakuu!
Waswahili wanasema uUsiamini vicheko!
Hali ilivyokuwa kabla ya zoezi la upigaji wa kura za maoni kwa nafasi ya ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Nzega Vijijini, ambapo Neto Kapalata ameshinda kwa kura 2,570 dhidi ya kada mkongwe wa chama hicho na mbunge aliyemaliza muda wake Hamis Kigwangalla ambaye amepata kura 1,715, akifuatiwa na CPA Robert Masegere aliyepata kura 1,635.
KWa muda aliokaa bungeni na uwaziri,Aaaaaah mzee wa nje ya box miaka 50 sasa anabidi afikirie kujiajiri na kufanya kilimo.
Akiwa nje akili ya kujifanya anapambania wananchi itarudiKWa muda aliokaa bungeni na uwaziri,
Huyu nje ya box ana ishi bila taabu.
Hela ya kula hatokosa Ila zile Anasa zinaenda kukata.KWa muda aliokaa bungeni na uwaziri,
Huyu nje ya box ana ishi bila taabu.
Kura ziliibiwa!! we kwa akili zako Kahama walichagua CCM 2015? Hampo seriousKuna yule wa Kahama Lembeli yeye alitengeneza kiti na kubebwa kwama mfalme ila alibwagwa
Ningekuwa mimi walinibeba hivyo ,nisingeongeleshana na mtu yeyote tena hapo mkutanoniWakuu!
Waswahili wanasema uUsiamini vicheko!
Hali ilivyokuwa kabla ya zoezi la upigaji wa kura za maoni kwa nafasi ya ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Nzega Vijijini, ambapo Neto Kapalata ameshinda kwa kura 2,570 dhidi ya kada mkongwe wa chama hicho na mbunge aliyemaliza muda wake Hamis Kigwangalla ambaye amepata kura 1,715, akifuatiwa na CPA Robert Masegere aliyepata kura 1,635.
Hapo siyo kwamba walikuwa wanamuonyesha njia kwa kumtoa nje ya box, nafikiri angeelewa maana ya kubebwa kutolewa kwenye kikao na kupelekwa machakani huko asingejihangaisha
According to, ULIMWENGU WA ROHO
Kahama wasingeweza kumchagua Lembeli, na ndio maana hata baada ya kurejea CCM amekua akibwagwa mara zote.Kura ziliibiwa!! we kwa akili zako Kahama walichagua CCM 2015? Hampo serious
Wamekula pesa yake wakafanya igizo kumridhishaWakuu!
Waswahili wanasema uUsiamini vicheko!
Hali ilivyokuwa kabla ya zoezi la upigaji wa kura za maoni kwa nafasi ya ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Nzega Vijijini, ambapo Neto Kapalata ameshinda kwa kura 2,570 dhidi ya kada mkongwe wa chama hicho na mbunge aliyemaliza muda wake Hamis Kigwangalla ambaye amepata kura 1,715, akifuatiwa na CPA Robert Masegere aliyepata kura 1,635.
Kuna yule wa Kahama Lembeli yeye alitengeneza kiti na kubebwa kwama mfalme ila alibwagwa