Kikeke kala mweleka?Wajumbe katika Jimbo la Moshi Vijijini wametiki na nakumpitisha Morris Makoi nakupita katika kura za Maoni Jimbo la Moshi Vijijini wapi Prof. Ndakidemi?
View attachment 3431175
Wachaga wakupe utawala raia ambae haijulikan kwao ni wapi?Kikeke kala mweleka?
Anaweza akapitishwa na kamati kuu, wajumbe sio waamuzi wa mwisho. Msimalize manenoWachaga wakupe utawala raia ambae haijulikan kwao ni wapi?
Bunge gani? Serikali gani? Wabongo mnasahau haraka kweli. Siku mbili utasikia mnalalamika.Hawo wamelamba karata dume.
Kama wanataka kupoteza hilo jimbo sawa? But haitokuwa rahis, raia wa huko si wa mchezo mchezoAnaweza akapitishwa na kamati kuu, wajumbe sio waamuzi wa mwisho. Msimalize maneno
Hayo unayoongea ni maneno matupu. Watapoteza jimbo kwa Nani?Kama wanataka kupoteza hilo jimbo sawa? But haitokuwa rahis, raia wa huko si wa mchezo mchezo
Bado kuna kamati kuu wanaweza kumpitisha, wajumbe sio waamuzi wa mwishoKikeke sasa aanze kufungua mabucha ya nguruwe huko Moshi ili 2030 wajumbe wamfikirie.
Ahadi ya soko la kitimoto wachagga wameikosa.Wachaga wakupe utawala raia ambae haijulikan kwao ni wapi?
Ana nini cha muhimu sana hadi arudishwe.Anaweza akapitishwa na kamati kuu, wajumbe sio waamuzi wa mwisho. Msimalize maneno
Unafikiri wote wanaorudishwa na kamati kuu Wanakua na cha maana Sana?Ana nini cha muhimu sana hadi arudishwe.
Alikuwa anajiamini vipi wakati kulikuwa na viashiria kuwa asingetoboa? Alipaswa kujifunza kwa uchaguzi wa 2020. Kuna siku wakati stori za hapa na pale zinapigwa alijisahau akajikuta ameropoka........ kuwa 2020 bila mbeleko asingetoboa.Prof ndakidemi aligoma jimbo kugawanywa, wajumbe wamemjibu
Wachaga si washamba kwa ahadi za kitoto kama hizoAhadi ya soko la kitimoto wachagga wameikosa.