Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
At what cost?Hayo unayoongea ni maneno matupu. Watapoteza jimbo kwa Nani?
CCM kupitia dola wana uwezo wa kumtangaza yoyote wanayemtaka
At what cost?Hayo unayoongea ni maneno matupu. Watapoteza jimbo kwa Nani?
CCM kupitia dola wana uwezo wa kumtangaza yoyote wanayemtaka
Hapo ndipo alipojimix!Wachaga waliona uyu muongo aiwezekani atumii nguruwe arafu aseme atatutafutia soko la nguruwe
Kamati Kuu si wameshafanya kazi yao? Unataka kusema KK ilirudisha hata majina ya watu isiotaka wawe wabunge?Anaweza akapitishwa na kamati kuu, wajumbe sio waamuzi wa mwisho. Msimalize maneno
Cost ipi? CCM na dola wakiamua jambo lao kunakua na cost ipi?At what cost?
Majina yatarudi tena kamati kuu, zoezi la kura za wajumbe likishaisha, majina yote yataenda tena kamati kuu kwa ajili ya uteuzi wa mwisho. Wapo wataoshinda kwa wajumbe lakini watapigwa chini na kamati kuuKamati Kuu si wameshafanya kazi yao? Unataka kusema KK ilirudisha hata majina ya watu isiotaka wawe wabunge?
Kama mtu kashinda kihalali, itakuwa upumbavu kumpiga chini. KK itakuwa inapindua utashi wa wanachama!Majina yatarudi tena kamati kuu, zoezi la kura za wajumbe likishaisha, majina yote yataenda tena kamati kuu kwa ajili ya uteuzi wa mwisho. Wapo wataoshinda kwa wajumbe lakini watapigwa chini na kamati kuu
Hoja yao ni kuwa huenda watu wanashinda sababu ya rushwa, ndio maana kamati kuu huamua kupitisha tena upyaKama mtu kashinda kihalali, itakuwa upumbavu kumpiga chini. KK itakuwa inapindua utashi wa wanachama!