GE2025 Wajumbe wampitisha Morris Makoi ubunge Jimbo la Moshi Vijijini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kamati Kuu si wameshafanya kazi yao? Unataka kusema KK ilirudisha hata majina ya watu isiotaka wawe wabunge?
Majina yatarudi tena kamati kuu, zoezi la kura za wajumbe likishaisha, majina yote yataenda tena kamati kuu kwa ajili ya uteuzi wa mwisho. Wapo wataoshinda kwa wajumbe lakini watapigwa chini na kamati kuu
 
Walau makoi analijua jimbo vema hasa ukanda wa chini kuliko kikeke, kuna jamaa anaitwa victor tesha wamemtosa tena. Yule jamaa kagombea mara nyingi sana bila kupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…