Wajumbe wanaomuunga mkono Lissu wanyimwa vitambulisho ili kesho washindwe kufika mkutanoni, kipigo kizito kimeahidiwa kwa wasiofuata utaratibu

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
503
Reaction score
1,432
Kigaila kawanyima baadhi ya wajumbe
vitambulisho makao makuu, Mikocheni.
Amewaambia warudi kesho asubuhi.
Wengi ya walio nyimwa vitambulisho ni
kutoka maeneo yaliyo onyesha upande.
Kigaila anaendelea kufanya uhuni ule ule
alioufunya kwenye chaguzi za chini. John,
ACT, ASAP.



Toa vitambulisho kwa Wajumbe ,
Wajumbe wengi mpaka sasa hawajapata
vitambulisho. Hii haikubaliki.



BENSON KIGAILA unazungusha watu wa
TAL kuwapa Vitambulisho hapo Makao
MAKUU.



ONYO
Kama wewe sio mpiga kura usisogelee
ukumbi wa kupigia kura Mlimani City
Jumanne tarehe 21/1/2025.

Eneo hilo ni kwa wapiga kura wa Mkutano
Mkuu pekee! Godi Lema na magenge yako
tutawanyonya ulimi bure.
Tunawakumbusha MOI madaktari wako
busy kuhudumia taifa!

 
Tanzania Taifa Langu Zuri! Tanzania Nchi Yangu Nzuri. Bado Safari ni Ndefu kila Mahali.
 


Mwaka jana utabiri ulisha kamilika


View: https://youtu.be/N6SYg3WrDTo?si=OMbERm82q2vWr4hk
 
Wanasiasa wa bongo bahati mbaya ni washenzi sana aisee, ukiwakuta sasa hao chadomo wanavyo lalamika kwenye chaguzi za nchi utadhani wao ni wasafi kumbe na wenyewe ndio wale wale washenzi tuu
Kwani Mbowe na ccm si nikitu kimoja
 
Hawa wakipewa nchi watakuwa zaidi ya Hitler
Tuwaache kwanza wajifunze
 
Kigailla analipa deni kwa Mbowe. Mbowe aliingia gharama ya kumfanya mke wa Kigailla kuwa mmoja wa covid 19
 
Hivi huyu Kigaila uwaga ana akili kweli
 
hawana sifa wala uthibitisho wa uhakika wa ujumbe wao,

walifungiwa wapi sijui, eti saivi ndio wanafunguliwa saivi wameletwa HQ na costa kufuata vitambulisho zoezi ambalo tayari limefungwa πŸ’
Yenu yanewashinda huko jana 🀣😹
 
Mbowe hakujiandaa kustaafu.
Siasa inamlipa kuliko hizo biashara mnazosema anazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…