Wajumbe wengine bodi ya Vodacom Tanzania watangaza kujiuzulu

Wajumbe wengine bodi ya Vodacom Tanzania watangaza kujiuzulu

Voda ni mali ya chama kubwa CCM tulipewaga na swaiba Marehemu Mandela inawezekana ikawa ni maandalizi ya kuichukua jumla sasa na ofisi ziamie pale Lumumba..
 
Kwa dhambi yenu ya ubaguzi na chuki mlimgomea dada Mkenya na kumkatalia asije kurekebisha, haieleweki kwanini wanabodi wanajitoa mmoja mmoja, kaanza marehemu Mfuruki, sasa naona na wazungu pia wanafungasha wenyewe...
------------------------------

Two more members of Vodacom Tanzania Board of Directors have tendered letters of resignation. According to a statement issued Monday December 23, 2019 by the company secretary Ms Caroline Mduma, members who tendered their resignation from the board include Mr Andries Delport and Mr Till Streichert.
The statement says the duo would resign as non-executive directors of the company next year.
Ni katika kuondoa influence ya Safaricom Vodacom !
 
Back
Top Bottom