Wajuvi: Ipi logic ya msiba wa Hayati Arap Moi huko Kenya kuagwa bila kuwekwa kwenye jeneza?

Wajuvi: Ipi logic ya msiba wa Hayati Arap Moi huko Kenya kuagwa bila kuwekwa kwenye jeneza?

Unajua maana ya LYING IN STATE ?
Sikujua hili boss. Kumbe huku ndio ku Lying in state?? Dah!! Kazi ipo. Ila nadhani wanataka kumhifadhi kama mtangulizi wake Mzee Kenyatta. Hakuzikwa bali yupo pale ameketi kwa kiti kama anayesema nawe. Kwa kuwa lilikuwa wazo lake Moi naona Kenyatta Jr ameamua naye kulipa fadhila
 
Jeneza atawekwa jumanne pale nyayo stadium,pili hicho ni kitambi sio eti ana mavi,walifanya postmortem .
Nyerere aliwekwa kwenye jeneza! Na si upumbavu wenu wa kumuweka Moi na mtumbo wake mkubwa wazi namna hiyo! Mngemkamua mavi kwanza!

close-family-of-jukius-nyerere-president-of-tanzania-stand-by-his-CEMXKW.jpg


_481440_nujoma_300.jpg



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania bana.yani Hilo nalo jipya kwenu?sasa ni hivi..Katika sayansi na waliopata nafasi ya kusoma maswala ya anatomy,Kuna process ambayo inaitwa mummification..hapa mwili wa mfu huwa unapitishwa kwenye chemicals na hivyo kukaushwa hivi kwamba process zote ambazo hufanyika ndani ya mwili baada ya kutokwa na uhai husitishwa..process hizo ni kama rigormortis, almarmortis putrification na nyinginezo ambazo ndio process halisi zinazofanyika mpaka mwili unaoza..hizo processes zikisitishwa ni kwamba mwili hauwezi kunuka wala kuoza maana ile breakdown ya viungo vya mwili zinazopelekea kuoza na kunuka havipo Tena..Katika swala la kumlaza mwendazake mzee moi bila jeneza wala sanda katika majengo ya mbunge,Hilo sio jipya kwetu wakenya maana ndio itikadi na desturi zetu manake hata hayati mzee Kenyatta ilikuwa hivyo..hamna jipya hilo tunaliona poa tu... anyway,naamini nimeongeza kaknowledge japo kadogo kwako mwana jf mpendwa...pumzika pema peponi mzee wetu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya leo wameanza siku tatu za kutoa heshima za mwisho kwa mwendazake Moi aliyewahi kuwa Rais wao.

Utaratibu wanaotumia Kenya umenishangaza, yaani mwendazake Moi amelazwa juu ya meza bungeni wala hayuko kwenye coffin......kwa kifupi ni kwamba sijauelewa kabisa utaratibu huu wa kutoa heshima.

Tukio liko live Citizen tv.

RIP mzee Moi
Jomo pia tulifanya hivyo

NriSzBFfjljomo-kenyatta.jpg


6eb5250b1e6c034b534e90c27a292ec5.jpg


c912c57a2a5b67fc79df69378d68e313.jpg



Lakini wakati wa kuzikwa alizikwa kwa sanduku...
 
Back
Top Bottom