Wajuvi na wafuatiliaji wa mambo washikwa na butwaa Emerson Munangagwa kuwa mgeni rasmi miaka 57 ya Uhuru wa Uganda.


Hahah we boya kwanza umeandika MNANANGWA ndio nini hio? Hamna kitu unajua we mama.

Ila Spinning doctor umetisha sana aisee,ila kweli banyamulenge mna roho mbaya sana angalieni msije mkamuambukiza na Mnangagwa akaipeleka kwao Zimbabwe.

Ukute dada hujui hata kwanini Mnangagwa anaitwa the crocodile.,hahah.
 
Mkuu napata wapi vitabu vyenyr madin kama haya tafadhal??
 
Mmeanza kutukanana badala ya kubishana kwa hoja
Waafrika sijui nani katuroga.
 
PK inasemekana kwa tamaa zake alimhujumu Rwigyema.
 
Rwigema wanasema kosa lake ni kuwa mtu mwema sana. Aliwapenda wale alioteseka nao uhamishoni. Akasahau wengine wanachotaka ni madaraka tu
Hata ukiingia YouTube ukiangalia video za Fred Rwigyema anaonekana ana busara, upendo na huruma.
 
Vita vya kila sangani si vya juzi wakati Rwigyema alikufa siku nyingi?
 
Vita vya kila sangani si vya juzi wakati Rwigyema alikufa siku nyingi?

Anajaribu kwa makusudi kupinda ukweli. Hakuna kitu kigumu kuelezea wanyarwanda kama Rwigema alikufaje!
Museveni alimsaidia Kagame kupanda hierarchy ya RPF sababu Kagame alikuwa ndio mkuu wa ujasusi wa jeshi la Museveni. Inaaminika alimsaidia sana dhidi ya waliojaribu kumdhulu.
Sidhani kama alijua baadae PK angewazidi maarifa
 
Uwe unajua ku-connect dots basi.

Hujaona hapo nimeongelea hapo ni kwanini Rwigema alipendwa na M7 na kwanini M7 hawezi kamwe kupatana na PK?
Vita vya kila sangani si vya juzi wakati Rwigyema alikufa siku nyingi?
 
Hujamuona mwafrika aliyeanza kuchengesha hoja hapo na kuanza kuandika ujinga ujinga?

Kama umemuona umechukua hatua gani?
Mmeanza kutukanana badala ya kubishana kwa hoja
Waafrika sijui nani katuroga.
 

Hahah blaza kwa story za kuokoteza uko njema sana.

We jamaa usichojua PK&M7 ni marafiki tangu utotoni wakiwa kwny makambi ya wakimbizi ya Kahunge.

Sasa M7 alimsaidiaje PK kupanda vyeo ndani ya RPF wkt muda huo PK alikua tayari ameshajenga jina lale na alikua ni CMI wa Uganda tayari, na ni hao wanyalu wawili ndio waliokua powerful.

Na haujui hata (RANU) ilikua nini na Rwigema amejiunga humo akiwa na miaka 16 wkt PK amejiunga akiwa na miaka 22 na haujui ilikuaje hadi ikageuka kua RPF mwaka 1990.,unabaki kusema tu bla bla za M7 alimsaidia PK huko RPF hahah.

We jamaa uwe unawadanganya huko huko kijiweni kwenu sio hapa JF.
 
NITIMISHAAOMBA WABONGO MPUNGUZE JAZBA, HILI JAMBO MBONA TULILIJUA WEEKI TATU ZILIZOPITA KABLA YA KUHITIMISHA SIKU YS UHURU/?? HIVYI SHIDA YENU NI NINI???????????????????????? NADHANIA IAKUWA CCM!!!! ILA UKWELI NI KUWA HAMUWEZI KUITOA CCM MADARAKANI
MWEBEREREMU???? MUSALE PURES
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…