Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
Hahah umezoea kudanganya vijeba wenzako,hamna kitu unajua zaidi ya vi-story vya kuokoteza.
Banyamulenge ndio mnajidanganya. Na mnajulikana kumlinda anayewalea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah umezoea kudanganya vijeba wenzako,hamna kitu unajua zaidi ya vi-story vya kuokoteza.
Hii mada ya kwanini Mnanangwa amepewa the highest civilian order ya Uganda. Hayo mambo yako ya banyamulenge anzisha mada yako.
Kule kwenu kuna majitu makatili sana hamuoni shida kuuana uana. That is your problem.
Ninachoweza kuchangia katika mada hii ni kwa General Salehe na Gen. Rwigema walikuwa marafiki wakubwa na walijua wanachofanya. Period
Kweli Banyamulenge mnajulikana na mnatisha sana mpk mmemuua Rwigema,hahah.Banyamulenge ndio mnajidanganya. Na mnajulikana kumlinda anayewalea.
Mkuu napata wapi vitabu vyenyr madin kama haya tafadhal??Kwamba PK alimuua Rwigema na wewe ukaamini,hahah.
Kitu gani hapo ni cha kusimuliana,kwamba Kisangani hawakuchapana?
Kuwajua wakina M7 na historia yao ya vita soma hata kitabu cha Combatants: A memoir of the Bush War and press in Uganda kikufungue macho kidogo,acha kusoma vi-blog uchwara.
Mkuu hicho ninacho hard copy yake lkn nadhani mtandaoni/jaribu ku-search kwny pdf drive nahisi kama kitakuwepo mkuu.Mkuu napata wapi vitabu vyenyr madin kama haya tafadhal??
Hahah we boya kwanza umeandika MNANANGWA ndio nini hio? Hamna kitu unajua we mama.
Ila Spinning doctor umetisha sana aisee,ila kweli banyamulenge mna roho mbaya sana angalieni msije mkamuambukiza na Mnangagwa akaipeleka kwao Zimbabwe.
Ukute dada hujui hata kwanini Mnangagwa anaitwa the crocodile.,hahah.
Unamaanisha wahehe?Na bila Rwigema,PK na wanyalu wenzao M7 asingeingia madarakani kamwe,NRA iliundwa na wanyalu kwa 40%.
PK inasemekana kwa tamaa zake alimhujumu Rwigyema.Si kweli. Truth be told. Nyerere was fond of Museveni. Museveni organized for his brother who came with a friend by the name Rwigema. Yes they had their attachment in Uganda after forced out of Rwanda.
PK ni spy katili. Alimsaidia Museveni. Na Museveni ndio alimshauri Rwigema asimuache nyuma PK. And we all know what transpired. The rest is history.
Hawa jamaa ni watu makatili sana aisee
Hata ukiingia YouTube ukiangalia video za Fred Rwigyema anaonekana ana busara, upendo na huruma.Rwigema wanasema kosa lake ni kuwa mtu mwema sana. Aliwapenda wale alioteseka nao uhamishoni. Akasahau wengine wanachotaka ni madaraka tu
Vita vya kila sangani si vya juzi wakati Rwigyema alikufa siku nyingi?Rwigema alikua mtu poa sana na hata M7 alijua kabisa ikitokea Rwigema amekua Rais wa Rwanda ingekua rahisi kwa M7 kuifanya Rwanda kama koloni lake na angekua anatawala nchi mbili at per,kitu ambacho anajua hawezi kukifanya kwa Kagame maana yule ni hardliner.
Na PK alimuonyesha mapema kabisa M7 kwamba kumpelekesha hataweza kwny Kisangani war,pale ndo M7 alielewa vzr ana dili na mtu wa aina gani.
Kumbe Putin aluwahi kufika Tanzania miaka hiyo?Wana historia inayofanana kiasi.View attachment 1229593Hiyo picha kuanzia kushoto ni Vladimir Putin,Samora Machel na Emerson Mnangangwa wakiwa Kaole Bagamoyo 1973.
PK inasemekana kwa tamaa zake alimhujumu Rwigyema.
Vita vya kila sangani si vya juzi wakati Rwigyema alikufa siku nyingi?
Vita vya kila sangani si vya juzi wakati Rwigyema alikufa siku nyingi?
Mmeanza kutukanana badala ya kubishana kwa hoja
Waafrika sijui nani katuroga.
Anajaribu kwa makusudi kupinda ukweli. Hakuna kitu kigumu kuelezea wanyarwanda kama Rwigema alikufaje!
Museveni alimsaidia Kagame kupanda hierarchy ya RPF sababu Kagame alikuwa ndio mkuu wa ujasusi wa jeshi la Museveni. Inaaminika alimsaidia sana dhidi ya waliojaribu kumdhulu.
Sidhani kama alijua baadae PK angewazidi maarifa