Wajuvi wa recruitment secretariat, ajira portal

Wajuvi wa recruitment secretariat, ajira portal

chakutu

Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
75
Reaction score
64
Wajuvi wa Mambo, Kwani secretarieti ya Ajira hawajui kuwa USTAWI WA JAMII kwa kimombo ni sawa na SOCIAL WORK ? Maana Mshikaji wangu ana sifa sawa na tangazo la ajira (AFISA MLEZI WA WATOTO DARAJA LA II) lakini akiingia kwenye mfumo , Mfumo unamkatalia, nikajua anakosea nikamwambia ngoja niweke bando tufanye mambo, eeeeeh tatizo bado lilelile ilhali Academic qualification alizojaza kwenye mfumo zinawiana na tangazo la ajira.

Ina display ujumbe.

Job Application FAILED

Sorry! You cannot apply for the job post, Check Required Bachelor Degree Academic Programs!
 
Ndio mfumo ulivyo,

Ni sawa na HRs wa siku hizi hawapitii maombi. Maana wanatumia softwares kama ATS scanner kupitia CVs kwa hiyo kama kuna keywords zimewekwa kwenye job description na wewe hizo huna kwenye cv yako hata kama una experience nzito. Mfumo utakutoa tu

Ndicho anachopitia ndugu yako kwa hiyo kama requirements zilizowekwa hana. Huwezi sema itaangalia mfanano kama human judgement. HAPANA. Mfumo ni mfumo

Naweza kusahihishwa pia
 
Itakuwa Mhusika aliyepewa alirushe hewani tangazo la ajira kwenye portal atakuwa ajabonyeza batani ya kada ya USTAWI WA JAMII ili waweze kuomba na hii inawezekana aliepewa jukumu la kupublish tangazo alikuwa hajui kuwa ustawi wa jamii ndio ileile social work.

Labda kwenye orodha ya kutiki watu wanaotakiwa kufanya maombi ya kwenye mfumo wa ajira portal neno ustawi wa jamii halipo ila lipo attribute ya neno social work na yeye keshakariri kiingereza tu hapo ndio kazi sasa.
 
1.Hio kazi inataka mtu wa diploma au degree?

2.Na huyo jamaa yako ana elimu gani?
 
Back
Top Bottom