Brian72
Member
- Apr 2, 2017
- 27
- 25
DarUko mkoa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DarUko mkoa gani?
Mkuu Trekta za uhakika kwa dunia ya sasa zinatengenezwa na Mmarekani(USA),yaani kuanzia Massey Ferguson, NewHolland,Case,John Deere na Versatile.
Hizo ndio top brands za matrekta kwa dunia ya sasa ambapo Mmarekani ndio ametawala .
Labda labda kidogo mwingine ni Mjerumani ambae trekta zake bora zipo Brands mbili ambazo ni Fendt na Claas.
Kasheshe IPO kwenye bei,,,Trekta mpya ya four wheel drive (4WD) na ya miaka ya karibuni kutoka brands tatu nilizozitaja hapo juu Si Chini ya 300,000,000.00/= TSH.
Kama unataka mtumba wa Trekta za hao jamaa hapo juu soko lake lipo UK.Ambapo bei ya Trekta mtumba za uhakika brands hizo hapo juu zinarange kuanzia milioni sitini(60M) mpaka milioni mia hamsini(150M).
Sasa ushauri wangu kwako ni kuwa Mara zote inabidi kuangalia ubora na sio bei.India watu wa kule ni wabahili wabahili ndio maana vitu vingi kwao vimekuwa subpriced ili kuendana na matakwa ya soko lao.Utashangaa kwanini gari la mjerumani linalouzwa UK na India ingawa model ni moja lakini bei tofauti ni kubwa?!! ,,,Jawabu ni kuwa wahindi huwa wanaangalia bei na Si ubora; Mercedes Benz model inayouzwa UK ni bora kuliko Mercedes Benz model hiyo hiyo inayouzwa India.
Nahitimisha kukumbusha kuwa hiyo Swaraj ni tractor-type ya Bajaj Boxer Bm150 in quality.BAJAJ BOXER ni mhindi na SWARAJ ni mhindi.
M.ngap mkuu?Ushauri wangu: achana na takataka za India, Usidanganywe na bei, Fikiria durability of the machine coupled with after sale services na upatikanaji wa spare kwa haraka. Massey Ferguson 375 is ideal kama shamba lako halina mazingira ya tifutifu na ardhi sio ngumu sana. 4wd tractor ni nzuri kama budget inaruhusu, Hii ni kutokana na uzoefu wangu in farming
Unapata na chenji inabaki!hivi nikiwa na m24 siwez pata toka UK au Germany?
Habari waungwana,
Kama kuna wadau wanaojua bei za trekta za kilimo tujuzane hapa.
Napendelea sana aina ya ''swaraji".
Karibuni,
By
Young
Dimaa.
Umejibu vema sanaMkuu Trekta za uhakika kwa dunia ya sasa zinatengenezwa na Mmarekani(USA),yaani kuanzia Massey Ferguson, NewHolland,Case,John Deere na Versatile.
Hizo ndio top brands za matrekta kwa dunia ya sasa ambapo Mmarekani ndio ametawala .
Labda labda kidogo mwingine ni Mjerumani ambae trekta zake bora zipo Brands mbili ambazo ni Fendt na Claas.
Kasheshe IPO kwenye bei,,,Trekta mpya ya four wheel drive (4WD) na ya miaka ya karibuni kutoka brands tatu nilizozitaja hapo juu Si Chini ya 300,000,000.00/= TSH.
Kama unataka mtumba wa Trekta za hao jamaa hapo juu soko lake lipo UK.Ambapo bei ya Trekta mtumba za uhakika brands hizo hapo juu zinarange kuanzia milioni sitini(60M) mpaka milioni mia hamsini(150M).
Sasa ushauri wangu kwako ni kuwa Mara zote inabidi kuangalia ubora na sio bei.India watu wa kule ni wabahili wabahili ndio maana vitu vingi kwao vimekuwa subpriced ili kuendana na matakwa ya soko lao.Utashangaa kwanini gari la mjerumani linalouzwa UK na India ingawa model ni moja lakini bei tofauti ni kubwa?!! ,,,Jawabu ni kuwa wahindi huwa wanaangalia bei na Si ubora; Mercedes Benz model inayouzwa UK ni bora kuliko Mercedes Benz model hiyo hiyo inayouzwa India.
Nahitimisha kukumbusha kuwa hiyo Swaraj ni tractor-type ya Bajaj Boxer Bm150 in quality.BAJAJ BOXER ni mhindi na SWARAJ ni mhindi.
Mkuu masamila hapa chini amekujibu vizuri au kwa uhkiki zaidi kama uko dar es saalam nenda pale mwenge makao makuu ya suma j.k.t yapo utapewa mwongozo zaidiHabari waungwana,
Kama kuna wadau wanaojua bei za trekta za kilimo tujuzane hapa.
Napendelea sana aina ya ''swaraji".
Karibuni,
By
Young
Dimaa.
I bought mine for $20,000, without Jembe, harrow na planterM.ngap mkuu?
Acha kutisha watu mkuu, trector mtumba 150mil? Wakati jkt wanauza za 24mil mpyaMkuu Trekta za uhakika kwa dunia ya sasa zinatengenezwa na Mmarekani(USA),yaani kuanzia Massey Ferguson, NewHolland,Case,John Deere na Versatile.
Hizo ndio top brands za matrekta kwa dunia ya sasa ambapo Mmarekani ndio ametawala .
Labda labda kidogo mwingine ni Mjerumani ambae trekta zake bora zipo Brands mbili ambazo ni Fendt na Claas.
Kasheshe IPO kwenye bei,,,Trekta mpya ya four wheel drive (4WD) na ya miaka ya karibuni kutoka brands tatu nilizozitaja hapo juu Si Chini ya 300,000,000.00/= TSH.
Kama unataka mtumba wa Trekta za hao jamaa hapo juu soko lake lipo UK.Ambapo bei ya Trekta mtumba za uhakika brands hizo hapo juu zinarange kuanzia milioni sitini(60M) mpaka milioni mia hamsini(150M).
Sasa ushauri wangu kwako ni kuwa Mara zote inabidi kuangalia ubora na sio bei.India watu wa kule ni wabahili wabahili ndio maana vitu vingi kwao vimekuwa subpriced ili kuendana na matakwa ya soko lao.Utashangaa kwanini gari la mjerumani linalouzwa UK na India ingawa model ni moja lakini bei tofauti ni kubwa?!! ,,,Jawabu ni kuwa wahindi huwa wanaangalia bei na Si ubora; Mercedes Benz model inayouzwa UK ni bora kuliko Mercedes Benz model hiyo hiyo inayouzwa India.
Nahitimisha kukumbusha kuwa hiyo Swaraj ni tractor-type ya Bajaj Boxer Bm150 in quality.BAJAJ BOXER ni mhindi na SWARAJ ni mhindi.
Naomba uni inbox nikupugie, vigezo ninavyo. Hiyo hp 55 nitapenda kuijua.Swaraj ni trekta nzuri tu na imara pia zinafanya kazi vizuri.Fika Dodoma, Manyara, Shinyanga, Simiyu, Mtwara etc utapata majibu chanya..Jumla kuna Swaraj zaidi ya 1000 zipo Tanzania.Bei ya Swaraj 744 -48hp ni Tsh 29.8mn, Swaraj 855-55hp ni Tsh 32.8mn. Bei ya jembe Tsh 4.5mn. Unalipa full cash au kukopa unatanguliza nusu (50%) inayobaki unalipa ndani ya miaka 2. Dhamana ni trekta pia uwe ni mkulima mzoefu ktk kipindi kisichopungua miaka 2..ukubwa wa shamba eka 50 na kuendelea. Ukiwa unahitaji na unakidhi vigezo then utani inbox..
Mkuu dhamana nyumba haiwezekani?, ndo mara ya kwanza nataka kumiliki trekta , hiyo trekta ya dhamana nitaitoa wapi mkuu?, kama upo tayari dhamana nyumba na pesa kidogo tufanye biashara, halafu muda mbona kidogo sana?Swaraj ni trekta nzuri tu na imara pia zinafanya kazi vizuri.Fika Dodoma, Manyara, Shinyanga, Simiyu, Mtwara etc utapata majibu chanya..Jumla kuna Swaraj zaidi ya 1000 zipo Tanzania.Bei ya Swaraj 744 -48hp ni Tsh 29.8mn, Swaraj 855-55hp ni Tsh 32.8mn. Bei ya jembe Tsh 4.5mn. Unalipa full cash au kukopa unatanguliza nusu (50%) inayobaki unalipa ndani ya miaka 2. Dhamana ni trekta pia uwe ni mkulima mzoefu ktk kipindi kisichopungua miaka 2..ukubwa wa shamba eka 50 na kuendelea. Ukiwa unahitaji na unakidhi vigezo then utani inbox..