Wajuzi bei za matrekta ya kilimo


Mbona wahindi wako vizuri in terms of quality na bei?..
Hivi ukiambia chukua swaraj ya india au farmtrac ya chini utachagua nini hapo?..
Au chukua boxer/tvs star ya india au sanlg ya china utachagua ipi hapo?
Wahindi nawakubali sana interms of quality na bei!...
Hizo brand za kimareka ulizozitaja ni za dunia ya kwanza mkuu huwezi linganisha na sie kajamba nani huku dunia ya tatu!...
Rafiki nakushauri kama unataka tractor mpya nunua indian made ni nzuri na mathubuti zinadumu mkuu!..
Ila kama pesa yako kidogo unaweza agiza South Africa wananazo used massey ukiwa na milioni 15 unapata yenye 4wd ziko bora kabisa changamoto usafirishaji!..
Swaraj utaipata pale mivinjeni dar opp na tanesco wana wakala pale
 
Ushauri wangu: achana na takataka za India, Usidanganywe na bei, Fikiria durability of the machine coupled with after sale services na upatikanaji wa spare kwa haraka. Massey Ferguson 375 is ideal kama shamba lako halina mazingira ya tifutifu na ardhi sio ngumu sana. 4wd tractor ni nzuri kama budget inaruhusu, Hii ni kutokana na uzoefu wangu in farming
 
M.ngap mkuu?
 
TRACTOR KINGDOM ZAR offers an Extensive Range Of Quality Used MASSEY FERGUSON tractors

MASSEY FERGUSON 135 + 2 SHEAR PLOUGH = R80,000
MASSEY FERGUSON 165 + 3 SHEAR PLOUGH = R100,000
MASSEY FERGUSON 188 + 3 SHEAR PLOUGH = R120,000
MASSEY FERGUSON 290 + 3 SHEAR PLOUGH = 150,000
MASSEY FERGUSON 399 = 150,000

Contact us today for more information ABOUT THIS HUGE SALE !!!

Cnr Lavender Road & Erras street
Wonderboom , Pretoria, South Africa
Tel: 0027 (0) 12-7515612
Cell: 0027 (0) 768110349
Cell: 0027 (0) 723043704
 
Umejibu vema sana
 
Habari waungwana,
Kama kuna wadau wanaojua bei za trekta za kilimo tujuzane hapa.
Napendelea sana aina ya ''swaraji".
Karibuni,


By


Young

Dimaa.
Mkuu masamila hapa chini amekujibu vizuri au kwa uhkiki zaidi kama uko dar es saalam nenda pale mwenge makao makuu ya suma j.k.t yapo utapewa mwongozo zaidi
 
Acha kutisha watu mkuu, trector mtumba 150mil? Wakati jkt wanauza za 24mil mpya
 
Naomba uni inbox nikupugie, vigezo ninavyo. Hiyo hp 55 nitapenda kuijua.
 
Nimepata elimu kiasi kI kubwa.Ila Naomba kujua umadhubuti wa Massey Ferguson MF 375 ya Pakistan. HP75. Mwenye uzoefu pls msaada. Nataka nitumie morogoro
 
Mkuu dhamana nyumba haiwezekani?, ndo mara ya kwanza nataka kumiliki trekta , hiyo trekta ya dhamana nitaitoa wapi mkuu?, kama upo tayari dhamana nyumba na pesa kidogo tufanye biashara, halafu muda mbona kidogo sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…