Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukubwa wa screen na jinsi ilivyokua ina respond. So fastNgoja wajuvi waje. Lakini mkuu simu zetu hizi za smartphone si unaweza kubadili muonekano kwa kutumia theme? Tuambie kwanza nini umeona cha tofauti sana hadi ukaona simu hiyo ni ngeni kwako.
Kumbuka sisi tunaona picha hapa mkuu. Weka video fupi tuone kuelewa unachotaka kumaanisha sababu picha ulizoweka zinaonekana za kawaida.Ukubwa wa screen na jinsi ilivyokua ina respond. So fast
Angalia picha zinavyoonekana. Hapo hata simu ya tecno ninayotumia inaweza kuonekana hivyo kwa kupambwa na theme, applications na kukuzwa na camera iliyoipiga picha hiyo simuOkay japo kwa bahat mbaya hiyo episode nimesha ifuta ngoja nijaribu kuona cha kufanya
Nimekupata vyema kabisa nikipata hiyo episode nitai trim niweke kipande kidogo hapa shukranAngalia picha zinavyoonekana. Hapo hata simu ya tecno ninayotumia inaweza kuonekana hivyo kwa kupambwa na theme, applications na kukuzwa na camera iliyoipiga picha hiyo simu
It seems njia yako inaweza kuleta majibu ngoja niendeleeNadhani ukisearch ni simu gani huyo character katumia kwenye scene husika nadhani watakuwekea kama unaweza kuwekewa aina ya siraha, magari nk vilivyotumika sidhani kama simu itashindikana
Imetoka tayrHANNA imetoka season 2?
mkuu kuna kitu kinaitwa product replacement kwenye movie ama series, kampuni kama Samsung ama Apple wanalipa hela halafu vifaa vyao vinaoneshwa. ila ikitokea hakuna mtu aliejitokeza kulipia hio scene basi hawa jamaa wanatumia njia nyingi kuhakikisha wewe haujui ni simu gani (hakuna matangazo ya bure bure).Hizo n screenshot kutoka kwenye series inayoitwa HANNA season ya pili episode ya 7
Hiyo simu ilionekana nikaiscreenshot kama hivyo. Sasa naomba kama kunamtu kwa huo muonekano anaweza kuitambua anipe jawabu
Natanguliza shukrani
hii ni iphone se mpya, camera moja na flash ya kuliaIt seems njia yako inaweza kuleta majibu ngoja niendelee
View attachment 1499508