Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
- Thread starter
- #21
Mkuu shukrani kwa maelezo haya naanza kupata pichamkuu kuna kitu kinaitwa product replacement kwenye movie ama series, kampuni kama Samsung ama Apple wanalipa hela halafu vifaa vyao vinaoneshwa. ila ikitokea hakuna mtu aliejitokeza kulipia hio scene basi hawa jamaa wanatumia njia nyingi kuhakikisha wewe haujui ni simu gani (hakuna matangazo ya bure bure).