Muuza simu used JF-Expert Member Joined Aug 23, 2017 Posts 4,393 Reaction score 7,074 Feb 27, 2022 #1 Leo nimetazama mechi ya klabu bingwa Africa kati ya Al Ahly vs Mamelodi sundowns hawajavaa logo yeyote ya mdhamini mkuu wa mashindano yaani CAF,je?logo hizi wanavaa tu baadhi ya timu ama kuna makubaliano maalumu kwa timu maalumu?
Leo nimetazama mechi ya klabu bingwa Africa kati ya Al Ahly vs Mamelodi sundowns hawajavaa logo yeyote ya mdhamini mkuu wa mashindano yaani CAF,je?logo hizi wanavaa tu baadhi ya timu ama kuna makubaliano maalumu kwa timu maalumu?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 27, 2022 #2 Labda wana makubaliano maalum
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 27, 2022 #3 Wameruhusiwa iwe hivyo...