Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Leo nimetazama mechi ya klabu bingwa Africa kati ya Al Ahly vs Mamelodi sundowns hawajavaa logo yeyote ya mdhamini mkuu wa mashindano yaani CAF,je?logo hizi wanavaa tu baadhi ya timu ama kuna makubaliano maalumu kwa timu maalumu?