Kuli Msomi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 266
- 625
Wakuu tangu Waingine DP World ni kama kero imekua kubwa kwa wafanya biashara gharama za uchuuzi wa kontena zipo juu sana mpaka inashangaza.
Na Kontena zinachukua muda mrefu sana kupita kiasi Wakuu shida nini? Je, ni sera mbovu za kiabiashara za serikali ukijumlisha na gharama au?
Je, Serikari inafanya njia gani kutatua hilo tatizo maana sasa sio kawaida, Mambo mengi waliyokua wakiyasema kuhusu DP world ikija yatabadilika na kuwa rahisi
Nashangaa imekua kinyume chake kulikoni?
Hio sio kawaida ukilinganisha na mataifa ya wenzetu tunayoshea nayo bahari ya hindi . Je Tanzania kuna shida gani?
Soma===> Walisema DP World itashusha gharama na siku za mizigo kukaa Bandarini. Leo gharama za kuingiza mzigo zitapanda kwa 360%