Wajuzi mje kutuambia, kuna shida gani Bandarini maana tangu wamekuja DP World ni majanga na sio amani tena

Mbona mafanikio yapo mkuu hukuona meli iliyobeba makasha 3000 imetia nanga

Ayo sio mambo ya kutuambia ni mafanikio acha tu tuisome namba lakini tunachoshwa aisee
 
Hivi vile vyura vya kihansi vilirudi toka marekani kwamaana gharama za kuwahudumia zilikuwa juu yetu tena kubwa
 
chura kiziwi mimi
 
Mbona mafanikio yapo mkuu hukuona meli iliyobeba makasha 3000 imetia nanga
Kutua nanga kwa meli yenye makasha mengi siyo hoja ya msingi, malalamiko ni gharama zilizozidi kwa sasa baada ya DP World kuanza kutoa huduma soma Uzi na kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…