Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
Aulizwe msajili wa Hazina anayehusila na masuala mashirika ya Umma. Atatoa majibuAu ni jina tu limetumika katika kubadilisha timu ya mpira ?
Hizo pesa zilizonunua team kwanini zisingepwlekwa kwenye miradi ya maendeleo kama kwenye miundombinu ya barabara,afya, elimu, n.k hizo fedha zilizokusanywa na wananchi naamini kwamba zingeenda kuboresha kwenye afya , maji n.k. na siyo kwenda kununua team.Nadhani inawezekana sababu mbona majeshi kama JKT na Police wana timu
💯Hizo pesa zilizonunua team kwanini zisingepwlekwa kwenye miradi ya maendeleo kama kwenye miundombinu ya barabara,afya, elimu, n.k hizo fedha zilizokusanywa na wananchi naamini kwamba zingeenda kuboresha kwenye afya , maji n.k. na siyo kwenda kununua team.