Swali linahusu ulaji wa mafuta kwa magari.Nimewahi kumsikia mtu anasema kila gari lenye CC chini ya 1500 hilo halili mafuta, so kwa watu wa chini watafute magari kama hayo akawa anataja magari kama Suzuki Jimny Wide, Pajero Mini, Starlet nk. Mimi nauliza kwa wajuzi humu ndani, je ni sahihi hayo aliyosema kuhusu CC za magari na ulaji mafuta?Nashukuru