Wajuzi nisaidieni swali langu hili

Wajuzi nisaidieni swali langu hili

Kagomba

Member
Joined
May 21, 2012
Posts
15
Reaction score
0
Swali linahusu ulaji wa mafuta kwa magari.Nimewahi kumsikia mtu anasema kila gari lenye CC chini ya 1500 hilo halili mafuta, so kwa watu wa chini watafute magari kama hayo akawa anataja magari kama Suzuki Jimny Wide, Pajero Mini, Starlet nk. Mimi nauliza kwa wajuzi humu ndani, je ni sahihi hayo aliyosema kuhusu CC za magari na ulaji mafuta?Nashukuru
 
swali lako litajibiwa endapo utatembele WWW.MAGALI FEKI YA KICHINA.COM so fanya hivyo ndungu mambo rahisi sana! hata uc umize kichwa
 
Back
Top Bottom