Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Kuna hizi baadhi nimepewa;
- Hana bima ya afya wala hamjui vet.
- Anajitafutia msosi wakati wa shida na kula mabaki
- Anaudhuria misiba na harusi ata mitaa ya mbali
- Anaweza kugongwa na gari, lakini akaendelea kutembea kwa miguu mitatu hadi apone
- Anajua siri za kila mtu hadi nani anarudishwa usiku na boda
- Ananusa na kujua chakula kilichowekewa sumu
- Anaweza kuwaona wachawi usiku
- Anaweza kupotea kwa wiki kadhaa na kurudi kana kwamba hakuna kilichotokea..
- …