Kuna hao hapo sinoni wananisindikiza Hadi home night Kali kisa TU niliwazoesha kuwapa chakula wakiona MTU ama boda wanaliamsha
Nikaona isiwe kesi ngoja nibadilishe rodi wakanisomea ramani wakajua nakopita wakaanza Tena
Ikaja chanjo ya mbwa Arusha nikakisanya wote kama 12 piga sindano wote in case nikiwa nao wakimuuma mtu niwe na vyeti vyao vya chanjo
Mwenye hao mbwa ambaye anawatumia kama walinzi kiwandani kwake akafurahi sana akani bless 50k Kuna mbwa alizaa akanipa vitoto viwili
Wana miezi 6 now na kwangu saa nne akatizi kima