Habari za mchana wana JamiiForums na wapenzi wa jukwaa la Biashara na Ujasiriamali.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri na sitaki kuwachosha, naenda moja kwa moja kwenye mada.
Haya wanajamvi, ndugu yenu naondoka hapa Dar es Salaam naingia mkoani kwa shughuli za utafutaji. Naombeni ushauri kati ya sehemu zifuatazo sehemu ipi ni nzuri kibiashara: kwa biashara za mtaji mdogo na vibarua vya hapa na pale.
1. Katoro
2. Masasi
3. Mufindi
4. Njombe mjini
5. Mafinga
6. Igunga
Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote.