Wajuzi wa habari picha tupeni mmegundua nini kwenye picha hizo?

Wajuzi wa habari picha tupeni mmegundua nini kwenye picha hizo?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Hakika dunia ni mwalimu mzuri sana hapa ulimwenguni.

Yule aliyejihisi amesimama kwa miguu yake kwenye mhimili mkuu leo hii yupo kwenye maficho.

Wazee naomba mtupe utofauti wa hizo picha hapo chini.

Screenshot_20220217-135544.jpg
 
Daah kweli historia ni mwalimu mzuri Sana. Hivi Yuko wapi Mzee huyu wa kuchakata wenzake kwa fimbo na rungu la Kigogo?
Ndo mpendanage sasa halafu kila siku kanisani na bibilia mpya. Mungu sio mmakonde.
 
Adui wa mwenzako hawezi kua adui yako pia...
 
Back
Top Bottom