Wajuzi wa hii kitu, ni kitu gani na inafanya nini?

Wajuzi wa hii kitu, ni kitu gani na inafanya nini?

BoManganese

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
980
Reaction score
2,679
Habari wakuu, maeneo ya feri pale kwenye maji nimeona wameweka hii kitu kama mtambo nimeweka picha, wajuzi wa haya mambo naomba ufafanuzi ni kitu gani hicho na kina kazi gani hapo, natanguliza shukrani
IMG_20211110_170707_557.jpg

 
Braza nani kakupa ruhusa ya kupiga picha ukiwa kwenye pantoni?
 
Kuna mpango wa kuchimba na kupanua kina cha bahari ili meli kubwa ziweze kupita kwenye hilo lango la bahari kwa urahisi. Mpango huo upo muda mrefu, kwenye makaratasi maofisini, na kwenye midomo ya wabunge baadhi ya wabunge wafuatiliaji, nadhani kazi inaweza kuanza wakati wowote.
 
Back
Top Bottom