Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kati ya mambo yanayoshangaza nchi hii, ni hilo zuio la kupiga picha kwenye kivuko na vituo vya ferry na Kigamboni. Miji mingine inatangazwa kupitia watalii wanaopiga picha, huku kwetu bado tumeganda kwenye ujima wa miaka ya 70.
Nchi nyingi zenye laana ya ujamaa ndio huwa ziko hivyo
Wakati wenzetu kila mahali unapiga picha
Sisi hata airport unaogopa kupiga
Eti kuvaa gwanda la Jeshi marufuku
Mara huwezi kupita huku yaani vitu vya hovyo bado tunaona eti usalama
Hivi kuna mtu analindwa kama malkia lakini Buckingham palace unaingia na kujionea vyumba kibao
Na hapo ni kwa Malkia