BoManganese
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 980
- 2,679
Shukrani mkuu nimepata mwanga kupitia hii link, japo bado sijajua ni mradi wa ujenzi wa kitu gani unaendelea pale.Yerewiiiiiiiiiiiiii mdindo unadiduka msindo
Jobless Ni laanaHabari wakuu, maeneo ya feri pale kwenye maji nimeona wameweka hii kitu kama mtambo nimeweka picha, wajuzi wa haya mambo naomba ufafanuzi ni kitu gani hicho na kina kazi gani hapo, natanguliza shukrani
View attachment 2006025
Tafuta pesa weweShukrani mkuu nimepata mwanga kupitia hii link, japo bado sijajua ni mradi wa ujenzi wa kitu gani unaendelea pale.
[emoji28][emoji28][emoji28]pole sana kwa stress zilizo kuelemea, lakini usiwaze soon utakuwa sawa Mungu mgawa riziki ni wetu soteTafuta pesa wewe
Hiyo ilikuwa tangu jana saa 1usiku ni machine yakuongeza kina cha bahari inachimbaHabari wakuu, maeneo ya feri pale kwenye maji nimeona wameweka hii kitu kama mtambo nimeweka picha, wajuzi wa haya mambo naomba ufafanuzi ni kitu gani hicho na kina kazi gani hapo, natanguliza shukrani
View attachment 2006025
Sure na baada kufanya kazi hiyo jana kuna meli kubwa sana iliingia imeandikwa lokandoNadhani ni kwa ajili ya kuchimba mchanga kuongeza kina ya maji ili meli kubwa zipite kiurahis.
Tafuta pesa wewe
Sawa ndio maana zipo mbiliHiyo ilikuwa tangu jana saa 1usiku ni machine yakuongeza kina cha bahari inachimba
Nipe madhara ya kupiga picha katika pantoni.Braza nani kakupa ruhusa ya kupiga picha ukiwa kwenye pantoni?
Kati ya mambo yanayoshangaza nchi hii, ni hilo zuio la kupiga picha kwenye kivuko na vituo vya ferry na Kigamboni. Miji mingine inatangazwa kupitia watalii wanaopiga picha, huku kwetu bado tumeganda kwenye ujima wa miaka ya 70.Braza nani kakupa ruhusa ya kupiga picha ukiwa kwenye pantoni?
Drecher?Nadhani ni kwa ajili ya kuchimba mchanga kuongeza kina ya maji ili meli kubwa zipite kiurahis.