Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kati ya mambo yanayoshangaza nchi hii, ni hilo zuio la kupiga picha kwenye kivuko na vituo vya ferry na Kigamboni. Miji mingine inatangazwa kupitia watalii wanaopiga picha, huku kwetu bado tumeganda kwenye ujima wa miaka ya 70.
Mkuu kuna watendaji wakiisha ajiriwa wao ni kufanya kazi kwa mtindo wa Robot. Mwezi May nilipita Airport ya Chato, nikapiga picha kadhaa kwa lengo la kuweka kumbu kumbu, lakini pia kuonyesha wengine kuwa kweli kile kijiji cha Chato kimepiga hatua za kimiindombinu.Nchi nyingi zenye laana ya ujamaa ndio huwa ziko hivyo
Wakati wenzetu kila mahali unapiga picha
Sisi hata airport unaogopa kupiga
Eti kuvaa gwanda la Jeshi marufuku
Mara huwezi kupita huku yaani vitu vya hovyo bado tunaona eti usalama
Hivi kuna mtu analindwa kama malkia lakini Buckingham palace unaingia na kujionea vyumba kibao
Na hapo ni kwa Malkia
Mkuu kuna watendaji wakiisha ajiriwa wao ni kufanya kazi kwa mtindo wa Robot. Mwezi May nilipita Airport ya Chato, nikapiga picha kadhaa kwa lengo la kuweka kumbu kumbu, lakini pia kuonyesha wengine kuwa kweli kile kijiji cha Chato kimepiga hatua za kimiindombinu.
Katika hali ya kushangaza, alijitokeza mlinzi mmoja na kudai kuwa ameniona nikipiga picha na akataka azione na ahakikishe nazifuta .... Nilimuonyesha zote na kweli nikazifuta. Habari ya uwanja ule ni bora kuzisikia kupitia kwenye mijadala ya bunge, kwani huko ni ruksa.π
Kwa kweli inashangaza sana, halafu ukiwa katika pantoni unapata ile view nzuri ya jiji la dar es salaam ni mara nyingi sana naona wazungu kwenye pantoni wakitaka kupiga picha wanazuiwa, mwisho wa siku utashangaa kwanini jiji kama Dar sio popular sana huko kwenye nchi zingine kama ilivyo kwa mji kama Nairobi. Wanasema kile kivuko cha magogoni ni moja kivuko kikubwa East Africa lakini nje tu ya Dar nani anajua?Kati ya mambo yanayoshangaza nchi hii, ni hilo zuio la kupiga picha kwenye kivuko na vituo vya ferry na Kigamboni. Miji mingine inatangazwa kupitia watalii wanaopiga picha, huku kwetu bado tumeganda kwenye ujima wa miaka ya 70.
π€£ππ€£π
Mbona wachekaπ€£ππ€£π
Iyo inachimba mchanga wanafanya upanuzi wa huo mlango wa kuingia na kutoka meliHabari wakuu, maeneo ya feri pale kwenye maji nimeona wameweka hii kitu kama mtambo nimeweka picha, wajuzi wa haya mambo naomba ufafanuzi ni kitu gani hicho na kina kazi gani hapo, natanguliza shukrani
View attachment 2006025
Hayo ni maandalizi ya kwenda kutumalizia raslimali zetu ili baadae tuanze kulalamika kwamba tumepigwaHabari wakuu, maeneo ya feri pale kwenye maji nimeona wameweka hii kitu kama mtambo nimeweka picha, wajuzi wa haya mambo naomba ufafanuzi ni kitu gani hicho na kina kazi gani hapo, natanguliza shukrani
View attachment 2006025
Ukoloni umetuharibu kifikra mno.... huwa najiuliza katazo la kupiga picha ferry Ni nn? Inawezekana miaka hyo Kuna Kiongozi alitoa katazo ambalo linarithi mpk Leo pasi kuwa na sababu ya msingi...maana hata ukiwauliza wale mgambo wanaojiona wanajeshi hawajui chochote wao Ni kukataza tuUnaona sasa
Hilo fala limekurupuka
Ungeliuliza kwa sheria gani ?
Kuna watu wanafikiri sehemu yoyote ni marufuku
Huku majuu wenzetu labda uvunje sheria tu
Ukoloni umetuharibu kifikra mno.... huwa najiuliza katazo la kupiga picha ferry Ni nn? Inawezekana miaka hyo Kuna Kiongozi alitoa katazo ambalo linarithi mpk Leo pasi kuwa na sababu ya msingi...maana hata ukiwauliza wale mgambo wanaojiona wanajeshi hawajui chochote wao Ni kukataza tu