Amna mama ni msaada tu nilikuwa natoa sio mdau.Nawe utakuwa mwanachama bila shaka[emoji4] [emoji4]
Hahahahaha hii comment + profile pic hapo hahahWe una wenge sana. Punguza wenge, hivi ulitoa mbegu vizuri? Maana sometime ina ujinga ukivuta na mbegu inakufanya ujiskie kichwa kama kinataka kudata, kula jani bob hadi ng'ombe waone gere[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiooo saaana tu[emoji23]Amna mama ni msaada tu nilikuwa natoa sio mdau.
Vp nawe ni mdau?
Dah! Acha hiyo kitu mbaya sana mpka upewe ushauri na doctorNdiooo saaana tu[emoji23]
Kwelii asee""alivuta cha tarime hafu hajui kikuryaSiku nyingine usijaribu kuvuta vitu adimu kama hivi..waachie wenyewe kwenye fani watumie
ndumu hatari...Kwelii asee""alivuta cha tarime hafu hajui kikurya