Wajuzi wa hili nawaomba mnijuze

Wajuzi wa hili nawaomba mnijuze

We una wenge sana. Punguza wenge, hivi ulitoa mbegu vizuri? Maana sometime ina ujinga ukivuta na mbegu inakufanya ujiskie kichwa kama kinataka kudata, kula jani bob hadi ng'ombe waone gere[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha hii comment + profile pic hapo hahah


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ujue watu awajui kuna tofauti kati ya hivi vitu viwili BANGE na BANGI, sasa huyu kavuta BANGE kichwa ndo kinagonga hivyo
kama angepata BANGI, wallai kipimo cha mkojo kilikuwa kinamuhusu
 
Dawa ya Weed kabla ujaitumia....hakikisha pembeni yako kuna Matunda kama Papai, Maembe,Mapera,Banana,Parachichi, upate na uhakika wa lita moja ya Maziwa freshi.....

Kwa mtindo huo, hutokaa ufikirie kuacha kutumia kilevi hicho..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom