Ushaambiwa kila tundu lina panya mmoja... hapo ndipo kwenye mtego wa hili swali7290 ndo jumla ya panya ...make kila tundu kuna panya 90
Ushaambiwa kila tundu lina panya mmoja. Hiyo kila tundu lina panya 9 umeitoa wapi?Sln.
1.mbao 9 × matundu 9= matundu 81.
2.matundu 81 @ panya 9.
ie. 81 × 9 = 729.
Hivyo jumla ya panya ni 729.
(NB.Hawa ni jumla ya panya mama,baba na watoto)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hata wewe bado umeingia mkenge...Una akili sana wewe!nimetumia muda kuipata hiyo moja unayo add unaitoa.Nimekuja kuigundua na kucheka mwenyewe.Maths is about tricks!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na panya mmoja ana vitoto 9 ...jumla 10 panya times na matundu 9 inaletaa 90Ushaambiwa kila tundu lina panya mmoja... hapo ndipo kwenye mtego wa hili swali
Shida iko hapo sasa. Ushaambiwa shimo moja lina panya mmoja. Aliyekuambia watoto wa panya wako shimoni ni nani?Na panya mmoja ana vitoto 9 ...jumla 10 panya times na matundu 9 inaletaa 90
Babu nakuonaa tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] babu kuwa siliasii nimerudia kusoma....Shida iko hapo sasa. Ushaambiwa shimo moja lina panya mmoja. Aliyekuambia watoto wa panya wako shimoni ni nani?
Hesabu is all about following instructions...
Hahahah sivumi lakini nimo
Swali linasema KILA TUNDU LINA PANYA TISA! Hapo ndipo mtego ulipo... swali halijasema watoto wa panya wako kwenye shimo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] babu kuwa siliasii nimerudia kusoma....
Ila umechanganya na siasa kwa ndaniii
Sasa na mm nabisha watoto wanakaa na mama yao kwenye matundu
Nakuona humo lakin
Wewe babu ndo maana bibi alikutema kwa ubishii wakooo...[emoji23] [emoji23] [emoji57] [emoji23]Swali linasema KILA TUNDU LINA PANYA TISA! Hapo ndipo mtego ulipo... swali halijasema watoto wa panya wako kwenye shimo.
Assuming, panya hawezi kuwa tunduni mwenyewe! Watoto watakuwa wapi? Kwenye kichuguu?Wewe babu ndo maana bibi alikutema kwa ubishii wakooo...[emoji23] [emoji23] [emoji57] [emoji23]
Lakini mwendelezo wa swali kuna kiunganishi tatiziii ....(na) kila panya (ana )
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa mkuu mbona unatutoa kwenye Math na kutupeleka civics ....Assuming, panya hawezi kuwa tunduni mwenyewe! Watoto watakuwa wapi? Kwenye kichuguu?
Ewaaa... kuna tofauti kubwa sana ya hizi herufi "na" na "ana"Wewe babu ndo maana bibi alikutema kwa ubishii wakooo...[emoji23] [emoji23] [emoji57] [emoji23]
Lakini mwendelezo wa swali kuna kiunganishi tatiziii ....(na) kila panya (ana )
Nilikuwa napita tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa mkuu mbona unatutoa kwenye Math na kutupeleka civics ....
Kichuguu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ewaaa... kuna tofauti kubwa sana ya hizi herufi "na" na "ana"
Mi na wewe tunaweza tukawa bar. Na sisi kila mtu ana watoto wawili. Hii haimaanishi bar tuko watu 6... right? Maana waweza kuta watoto wetu wako shule
Hesabu haijawahi kukuacha salama... hahahaha
Watoto wa panya ni panya. Mayai ya kukubsio kuku. Vifaranga wa kuku ni kuku=729 panyas bila watoo = 6561 panyas na watoto
Na kweli umepita mkuuNilikuwa napita tu