Wajuzi wa hisabati naombeni jawabu

Wajuzi wa hisabati naombeni jawabu

Mbao 9 kila mbao ina matundu 9
9*9 jumla ya tundu ni 81.

Kila tundu lina panya 9 na kila panya ana ana watoti 9

Let say tundu ya kwanza ina panya 9 na kila panya ana watoto 9.
Panya mzazi 1 + watoto 9= 10
Lakin kwenye hilo tundu wapo wazaz 9, so ni 9*10= panya 90 kwa tundu moja

Idadi ya tundu * panya wa kwenye kila tundu

90*81= ndio idadi ya panya
 
MBAO ZIPO TISA : I-I-I-I-I-I-I-I-I = 9,

KILA MBAO @ I = INA MATUNDU TISA (O,O,O,O,O,O,O,O,O) = 9,

KILA TUNDU (O) = LINA PANYA TISA (P-P-P-P-P-P-P-P-P) = 9,

KILA PANYA (P) KWA KILA TUNDU MOJA = ANA WATOTO TISA (p-p-p-p-p-p-p-p-p) = 9,

=___________________________________ jibu.

nisaidieni kusolve aisee,, mimi na hesabu tulipishana hesabu kulia mimi kushoto......
 
Jibu sahihi ni panya 7290..

Njia ipo juu hapo.
 
9+1=10

9×10= 90

9×90=810

810×9=7290

jibu ni panya 7290 sisi watu wa physics tunasema ASSUME PAKA HAMNA HAPO
 
Duuu! nini miaka mingi sana baada ya kuachana na elimu ya mahesabu. Bila shaka hapa tutatumia kanuni hii:
Mbao mara matundu mara panya mara watoto, kwa hiyo ni 9 mara 9 mara 9 mara 9.
Kwa hiyo kuna panya 6561
Dah..mkuu hisabati ni maisha yetu ya kila Siku..... Haikwepeki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
"Nadhani matundu yangekua 10 ingependeza Zaidi" in Dkt Shika voice😛😛😛😛😛
 
...mwenyekiti akatokeza kichwa kidogo kwenye shimo lake na kusema; "kikao kimeisha mpaka siku nyingine"...--- Hapo kuna panya 7290!!
 
9x9+9=90 kuna panya 90.
Mama panya ni 9 na kila mmoja ana watoto panya 9 kwahyo ni 9x9=81 watoto panya ni 81 ukijumlisha na mama panya 9 jumla ya panya ni 90 kama nikikoxa hilo swali halina jbu milele
 
Back
Top Bottom