Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina mbao 9 kila mbao inatundu 9 kila tundu lina panya 9 kila panya ana watoto 9 je idadi ya panya wote katika matundu ya mbao zote ni wangapi?
UMEJITAHIDI SANA ILA UMEKOSADuuu! nini miaka mingi sana baada ya kuachana na elimu ya mahesabu. Bila shaka hapa tutatumia kanuni hii:
Mbao mara matundu mara panya mara watoto, kwa hiyo ni 9 mara 9 mara 9 mara 9.
Kwa hiyo kuna panya 6561
Jibu:Nina mbao 9 kila mbao inatundu 9 kila tundu lina panya 9 kila panya ana watoto 9 je idadi ya panya wote katika matundu ya mbao zote ni wangapi?
=729 panyas bila watoo = 6561 panyas na watoto
Tatizo ajabainisha kama watoo wa panya wapo ndani tundu maana idadi ya panya kwa kila tundu ni 9Kwani mtoto wa panya sio panya