Wajuzi wa lugha ya kiingereza!

Watanzania mnashangaza sana, hata ku Google hamuwezi!?,nenda Google halafu urudi hapa uelezee tena ulichoandika. Ndo maana hadi ma professor wenu na ma lecturer vyuoni hawajui kiingereza. Sababu ya ubishi.
 
Watanzania mnashangaza sana, hata ku Google hamuwezi!?,nenda Google halafu urudi hapa uelezee tena ulichoandika. Ndo maana hadi ma professor wenu na ma lecturer vyuoni hawajui kiingereza. Sababu ya ubishi.
Ungejua lugha na matumizi yake haujifunzi kwa kugugo usingeandika ulichokiandika, hata hivyo kunamwingine humu amelalamikia dharau zako mr. Jameson, unanifanya niwe na mashaka na "Jameson" kinywaji nikipendacho.
 
Ungejua lugha na matumizi yake haujifunzi kwa kugugo usingeandika ulichokiandika, hata hivyo kunamwingine humu amelalsmikia dharau zako mr. Jameson, unanifanya niwe na mashaka na "Jameson" kinywaji nikipendacho.
Hahaha relax kiongozi, lugha yenyewe imeletwa na meli😁
 
hayo ni makosa ya kiuchapaji ambayo yanaweza kutokea kwa lugha yoyote ile.
Ila kwasababu ww ni mtumwa wa kizungu ndio maana umeona kama vile kosa la mauaji[emoji1787]
Ndo shida akili ya mwafrika,, ni kusifia vya ugaibuni kila sekunde 😡😡,
 
JF hua hawakosoi sana inapokosewa lugha ya Kiswahili ila ukikosea lugha ya mkoloni,utawaona mpaka wazungu wa Nzega wanakuja kwa spidi ya sauti kukutolea povu.
Weeeee..!! Siyo kweli, makosa ya kwenye kiswahili nayo watu wanasema nayo hatari. Kwani hujapitia ule uzi wa ULISI, YAULIS, HAJARIPA ADA, WATAZALILIKA..!!?? Tiririka na uzi huo hapa chini

 
Hili ni gazeti la lugha ya kiingereza la leo 12/09/2023 kutoka Tanzania!

Kichwa cha habari ni sahihi? Najua ujumbe kusudiwa umefika! Najua ni makosa ya kibinaadamu! Tatizo wakenya wataanza nongwa!

View attachment 2746445

Hatari sana hii!



No one is above law, no one is above the law, no freedom that is exercised freely without limits, all kinds of freedoms have some boundaries, language error is always excusable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…