jameson567
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 536
- 3,289
Watanzania mnashangaza sana, hata ku Google hamuwezi!?,nenda Google halafu urudi hapa uelezee tena ulichoandika. Ndo maana hadi ma professor wenu na ma lecturer vyuoni hawajui kiingereza. Sababu ya ubishi.Unatumia "the" ukiwa tayari unacho ulichokilenga kama hauna ulichokilenga unatumia "law".
Sikulazimishi kukubaliana na mimi kwani tayari umeonesha dharau kwenye jambo tusilo bishana bali kueleweshana.
Kwenye mjadala ukimuambia mwenzako mjinga au chizi kutokana na wazo lake ukiamini wewe ndiye unayejua zaidi kuliko wote kwenye kundi, basi haufai kuwemo kundini.