Wajuzi wa magari mnisaidie

Wajuzi wa magari mnisaidie

Mungwana

Senior Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
139
Reaction score
145
Kuna hii gari nimeiona mahali, naomba anaejua jina la hili gari na ikipendeza naomba kujua Bei yake kwa hapa bongo na wap vinapatikana. Natanguliza shukran
IMG_20220710_062853.jpg
 
Mkuu, hiko kinaitwa Smart Fortwo Passion 2nd generation hiyo ya 2009 nadhani. Engine cc 1000 piston 3 (engine ni ya Mitsubishi).

Kuna maza mmoja alikua nako, kila siku kakawa na shida kaliwajua mafundi kama 30 hivi hapa mjini. Sahivi kapo kwao amenunua tu IST.
 
Asante kwa taarifa, so inaonekana ni kigari flan korofi au
 
Mkuu, hiko kinaitwa Smart Fortwo Passion 2nd generation hiyo ya 2009 nadhani. Engine cc 1000 piston 3 (engine ni ya Mitsubishi).

Kuna maza mmoja alikua nako, kila siku kakawa na shida kaliwajua mafundi kama 30 hivi hapa mjini. Sahivi kapo kwao amenunua tu IST.
Na vipi hukubahatika kujua Bei yake kwa hapa bongo na wap vinapatikana
 
Back
Top Bottom